A.G Kilanga sio wakumsagia kunguni, huyu ni wakumsagia fuko la mavi kabisa usoni.
Mwendazake ameiharibu sana field ya sheria, wanasheria wengi wameacha kupractice sheria kwasababu ya hujuma na vitisho vya marehemu, ila hakutambua kwamba anawanyima wafungwa na washtakiwa "CONSTITUTIONAL RIGHTS TO BE HEARD & RIGHTS REPRESENTED". Na alikua anaingilia Judiciary wazi wazi kabisa kibabe. Halafu mwisho wa siku akawa anajipa point kwa kuwaachia wafungwa magerezani.
Kesi nyingi zimeharibiwa kwa vitisho vya marehemu, wanasheria kutishiwa na kuambiwa wajitoe kwenye hizo kesi, wanasheria kubambikizwa kodi za ajabu ajabu, ofisi za wanssheria kulipuliwa mabomu. Wanasheria wengine wameishia kukimbilia siasa.