Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jun 25, 2021 #21 Uwongo! Hiyo tweet ya shangazi yako ni ya muda sana, na ilikuwa uzushi tu. Kwa sasa habari ni hukumu ya Fatma Karume kupitiwa upya, amri ya mahakama kuu.
Uwongo! Hiyo tweet ya shangazi yako ni ya muda sana, na ilikuwa uzushi tu. Kwa sasa habari ni hukumu ya Fatma Karume kupitiwa upya, amri ya mahakama kuu.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Jun 25, 2021 #22 Pythagoras said: Jiwe alipandikiza maubongo mabovu kwenye vichwa vyao. Itachukua muda mrefu sana kusafika. Click to expand... Kwani si tupo utawala wa sheria chini ya mama na tuko vizuri sana au?
Pythagoras said: Jiwe alipandikiza maubongo mabovu kwenye vichwa vyao. Itachukua muda mrefu sana kusafika. Click to expand... Kwani si tupo utawala wa sheria chini ya mama na tuko vizuri sana au?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 21, 2023 #23 Zamu yao bado
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 21, 2023 #24 Huyu mzee ni mjinga sn ajue kuna siku atastaafu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 21, 2023 #25 Kwa mujibu wa Wakili Alphonce Lusako ambaye ni miongoni mwa wanajopo hilo la kumtetea Wakili Mwabukusi kilichowasukuma wao kuamua kumtetea wakili huyo ni kutaka kupambana na njama za kukandamiza mawakili wanaoikosoa serikali. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa Wakili Alphonce Lusako ambaye ni miongoni mwa wanajopo hilo la kumtetea Wakili Mwabukusi kilichowasukuma wao kuamua kumtetea wakili huyo ni kutaka kupambana na njama za kukandamiza mawakili wanaoikosoa serikali. Sent using Jamii Forums mobile app