Wanafiq hawaSikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja. Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma
Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua. Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Hii ni zamu ya BAKWATA, wanakenua na kujilimbwasa tu.
Ikifika zamu ya wengine utasikia mambo ya Nchi kuendeshwa ki Vatican, mxxxiiieeew zao washika Juzuu n Elimu zao Mbali mbali.
Bakwata hapa wanatoana ngeu kugombea vijinyama kutoka MakkahHii ni zamu ya BAKWATA, wanakenua na kujilimbwasa tu.
Ikifika zamu ya wengine utasikia mambo ya Nchi kuendeshwa ki Vatican, mxxxiiieeew zao washika Juzuu n Elimu zao Mbali mbali.
Uko sahihi100%Sikuwai kujua kwamba hawa watu ni wadini vibaya mno Zitto Kabwe na Fartuma Karume hawa kipindi cha Magufuli walikua wanamidomo kelele kila siku kumbe takataka tu uzuri ni kwamba sisi tunawatazama tu kwamba awamu ya Samia hakuna baya hata moja.
Uzuri kuimba ni kupokezana ni suala la mda tu japokua tumeshajua kwamba nyie ni wafia dini Hakuna kitu mtakuja kuzungumza kwenye jamii kikaelewela hata siku moja Zitto kipindi cha Magufuli ulikua unajenga ghorofa pale dodoma
Ulikua umeshindwa hata kumalizia lile ghorofa pale dodoma ndo maana ulikua na kelele nyingi sana kipindi cha Magufuli ulikua na ukata wa kifedha ulizoea vya kunyonga kwa sasa kwasababu uko kwenye asali unalamba kimya na ghorofa yako ulimaliza baada ya Magufuli kufa tunajua.
Fartuma huyu Uzanzimbar na Udini kwa sasa kila anachofanya Samia ni kizuri serikali yake inafanya mazuri tu
Hii ni zamu ya BAKWATA, wanakenua na kujilimbwasa tu.
Ikifika zamu ya wengine utasikia mambo ya Nchi kuendeshwa ki Vatican, mxxxiiieeew zao washika Juzuu n Elimu zao Mbali mbali.
Kuimba ni kupokezana!!
Wengi tu hata humu wanamsapoti bimama kwa sababu ya dini yake!!