Elections 2010 Fatwa ya waislamu live redio imani fm kuhusu uchaguzi mkuu

Wenzenu kutoka Yemen wanatishia usalama viwanja vyote vya ndege leo...hiyo fatwa inazuia hilo au inashabikia?
 


Satanic verses? Teh teh teh! Fatwa maana yake resistance against those you hate most...asikudanganye mtu
 
Ok sawasawa tunashukuru kwa kutuelewesha manake tulidhani ndio habari
ya udini inaendelea.
 
Hawa wanafiki kweli...............mwanzoni walishawaambia waislamu wasikipe kura ccm ila waipe cuf (ile taasisi chama cha wailamu) eti kwa sababu ya mahakama ya kadhi na oic..............baadaye wanasema kuna viongozi wanaleta udini.......unafiki mkubwa wa masheikh na maimamu
 
hatuna haja ya kulumbana na wewe. Mpe asalam aleykum Mkwere
 
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.

sawa tumekusikia. si tatizo kusikiliza wito tatizo lawezakuwa kwenye wito wenyewe.
kama wito wenyewe hautakuwa na busara na upendo basi itakula kwao
 
\

kumbe fatwa is not a monster pipo to fear, kama kuna news tupe tu mkuu sio lazima twende kusikiliza hiyo redio kwani tuko hapa ili kushare issues mbalimbali zilizojiri ktk maeneo mbalimbali ikiwemo vyombo vingine vya habari!


We,afadhali unaelewa mambo.
Pamoja na hivyo ukisikiliza mwenyewe utaelewa kuliko nitakavyokusimulia.Mimi nimeipenda ile habari kwamba waislamu kumbe waliwahi kumwendea mkristo kutafuta hifadhi.Nyengine kiongozi wa ngazi ya juu ya kiislamu alimshtaki kafiri fulani kwenye mahakama iliyo chini ya serikali yake kwamba amemkuta na kifaa chake.Yule kiongozi akatakiwa kutoa ushahidi akajichanganya na kweli kile kifaa kilikuwa chake,akaambiwa nenda zako!, hii mali ni ya huyu jamaa (kafiri).Ziko nyingi....
Kuhusiana na dkt.Slaa hii fatwa inatoa sura kuwa si mfano wa hao.Sasa ni vyema kusikiliza ili sauti ya bundi kwa dkt.Slaa ukaisikia mwenyewe,isije baadae ikasemmwa kuwa ameibiwa kura.
 
AMi utajihangaisha bure hapa ,wengi wao wanatembea na misalaba mabegani na wengine huwashinda njiani wakaitupa ,si umawaona wanavyojidai walokole.

wewe acha zako hizo mla tende chakula za Firauni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…