Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mshauri wa Masuala ya Kitabubi wa Ikulu ya Marekani, Dr. Anthony Fauci amesema tafiti za kuhusu watoto wa miezi 6 hadi miaka 5 kuoatiwa chanjo ya #COVID19 zinaendelea
Kwa sasa watoto wanaopatiwa chanjo ni wa miaka 5 hadi 17 ambao pia wanaweza kupatiwa 'booster'. Walio chini ya miaka 5 hawapatiwi chanjo
Fauci amesema ndani ya kipindi cha nusu mwaka majibu yatakuwa yameshatoka kuhusu chanjo kwa watoto wa miezi sita hadi miaka 5