Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
- Thread starter
-
- #21
kwangu mimi na kwa njia yoyote niliyo au nitakayotumia hakuna mdada anaye au aliyechomoa. Nitaanza na wewe Nai ili uamini!!!!!. tukimalizana rudi hapa uwape majibu
kumbe wewe ni half caste i.e chagga + Mmasai= unknown tribe ----ni PM nikupe somoHuna lolote kaka! Ni mashauzi ya bure tu! Hata kama kwa uchawi. Usichezee damu ya kimasai na kichaga!
kwangu mimi na kwa njia yoyote niliyo au nitakayotumia hakuna mdada anaye au aliyechomoa. Nitaanza na wewe Nai ili uamini!!!!!. tukimalizana rudi hapa uwape majibu
sema tu hunifahamu mkuu, mimi ndiye papa M--- uliza wadada wote bongo movies mbona wananikomaWewe utakuwa umetongoza wanawake wawili watatu tu.
Sasa wale wadada wa bongo movies si ni wauzaji tu mkuu (Kama wale wa Kona bar, sema tu wao wako levo nyingine). Huwezi kusema unang'oa changu, ile ni biashara nipe nikupe. Kwa hiyo kama ni hao unaowazungumzia nakubali unaweza kung'oa yeyote unayemtaka.sema tu hunifahamu mkuu, mimi ndiye papa M--- uliza wadada wote bongo movies mbona wananikoma
Nitake radhi mdogo wangu, wanawake wa bongo movies unawafananisha na gharasa wale wa corner Bar? -wewe kweli umezaliwa Msoga kuleeeeee kwa Baba MwanaishaSasa wale wadada wa bongo movies si ni wauzaji tu mkuu (Kama wale wa Kona bar, sema tu wao wako levo nyingine). Huwezi kusema unang'oa changu, ile ni biashara nipe nikupe. Kwa hiyo kama ni hao unaowazungumzia nakubali unaweza kung'oa yeyote unayemtaka.
assumptions zipo za jinsia zoote
za wadada ziko hivi....
1.ukimchangamkia tu basi unamtaka
2.ukijmsaidia shida.unajitangaza buzi...
3.ukiwa busy na ishu zako,umemchunia....
[MENTION]Wadada na wakaka mwasemaje? Hasa wadada, haya ni ya kweli au hamjakutana nayo? Wakaka naomba msichukie na kuporomosha maneno makali.Dunia hii ina mengi!
Asanteni
Ni mimi,
Miss Nai.
Sijui hii nayo kwa upande wa wanawake tuiteje.........?
sijaelewa au sijielewi.