Faustin munishi, mtumishi wa mungu au mwanaharakati?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Nimeweza kumfahamu Munishi kupitia nyimbo, makala na video zake zinazoikosoa CCM wazi wazi kwamba kimezeeka na ni chama cha majambazi, hivyo kiondolewe madarakani. Hivi karibuni kaja na madai ya kutishiwa maisha na CCM. Naomba anayeijua historia ya huyu mtu, yupo wapi na anafanya nini. Anijuze.
 
Huyu bwana kwanza kabisa alikua ni mwizi wa mifuoni pale stendi kuu ya mabasi Arusha akiwa na mshirika wake mkuu anayeitwa Malebo walifanya kazi ya kuiba tena kwakutumia visu na mapanga lakini hapo baadae akamrudia Mungu na kuanza kuimba mapambio alipoona inamlipa ikawa ndio biashara kwasasahivi nasikia kahamia nchi jirani ya Kenya. Hii ndio historia fupi ya bwana huyu.
 

pamoja na yoote asemayo , ccm ni chama muflisi ! Chama cha watu wa hovyo, wadokozi wa mali ya umma , genge la watu wenye magamba. . .
 
Kwa nini asije kuanzisha chama chake kipya? Wengi tulizipenda nyimbo zake tutakioenda na chama chake pia.
 

jaribu kum'search facebook faustin munishi faustin
 
Hivi wanaharakati ni watumishi wa shetani?
 
Kumbe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…