Burn the bridge _Tz JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 2,319 Reaction score 6,878 Jan 18, 2026 #1 Jamaa amekufa bila kuacha alama yoyote kama juhudi zake za kuleta maendeleo jimbo la kigamboni Alale salama au asilale salama atajijua mwenyewe, Sio shida zangu
Jamaa amekufa bila kuacha alama yoyote kama juhudi zake za kuleta maendeleo jimbo la kigamboni Alale salama au asilale salama atajijua mwenyewe, Sio shida zangu
Fortyseven JF-Expert Member Joined Oct 30, 2020 Posts 1,518 Reaction score 2,834 Jan 18, 2026 #2 ata ka Mr Beach Boy said: Jamaa amekufa bila kuacha alama yoyote kama juhudi zake za kuleta maendeleo jimbo la kigamboni Alale salama au asilale salama atajijua mwenyewe, Sio shida zangu Click to expand... hata kama wakimkumbuka itasaidia nn ??
ata ka Mr Beach Boy said: Jamaa amekufa bila kuacha alama yoyote kama juhudi zake za kuleta maendeleo jimbo la kigamboni Alale salama au asilale salama atajijua mwenyewe, Sio shida zangu Click to expand... hata kama wakimkumbuka itasaidia nn ??
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jan 18, 2026 #3 Kifo ni kifo tu, adhabu njema huko aliko.
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,201 Reaction score 3,652 Jan 18, 2026 #4 Kwani Mbunge wa Kigamboni ni nani kwa sasa?