Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Katika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar.
Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na vipindi kadhaa.
Hakukaa muda mrefu akaenda ITV Akiwa ni mmoja wa walioanzisha ITV & Radio One.
Mpaka sasa sauti ya Fauziyat Ismail Aboud bado iko vile vile kwa sababu nilimsikia mwaka huu akisoma Habari TBC Wakati wa maadhimisho ya siku ya Mapinduzi Ya Zanzibar. Hapa nimeandika kwa kifupi sana.
Huyu ndiye Fauziyat Ismail Aboud, Naomba mnisaidie kumtakia heri katika siku yake. HAPPY BIRTHDAY DA FAUZIYAT!!!!!!!
Source Betty mkwasa