Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Nilikuwa naipenda Sana sauti ya Julius Nyaisanga, Uncle J, BurianiKatika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokua inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar. Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na vipindi kadhaa. Hakukaa muda mrefu akaenda ITV Akiwa ni mmoja wa walioanzisha ITV & Radio One. Mpaka sasa sauti ya Fauziyat Ismail Aboud bado iko vile vile kwa sababu nilimsikia mwaka huu akisoma Habari TBC Wakati wa maadhimisho ya siku ya Mapinduzi Ya Zanzibar. Hapa nimeandika kwa kifupi sana. Huyu ndiye Fauziyat Ismail Aboud, Naomba mnisaidie kumtakia heri katika siku yake. HAPPY BIRTHDAY DA FAUZIYAT!!!!!!!
Source Betty mkwasa
Atakuwa hanywi farujohn!Katika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar.
Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na vipindi kadhaa.
Hakukaa muda mrefu akaenda ITV Akiwa ni mmoja wa walioanzisha ITV & Radio One.
Mpaka sasa sauti ya Fauziyat Ismail Aboud bado iko vile vile kwa sababu nilimsikia mwaka huu akisoma Habari TBC Wakati wa maadhimisho ya siku ya Mapinduzi Ya Zanzibar. Hapa nimeandika kwa kifupi sana.
Huyu ndiye Fauziyat Ismail Aboud, Naomba mnisaidie kumtakia heri katika siku yake. HAPPY BIRTHDAY DA FAUZIYAT!!!!!!!
View attachment 3237656
Source Betty mkwasa
Huenda wakula sana gambe!Hawa vijana wa siku hizi sijui sauti zao zikoje, hawana sauti nzuri kama za kina Fauziyat Aboud
Mimi namtafuta Christine Chakunegela popote alipo mwenye kujua alipo tuambizaneKatika miaka ya 80 na..... Alikuja Dada mmoja pale iliyokuwa inaitwa Radio Tanzania Dar-Es-Salaam alitokea Zanzibar.
Huyu Dada alikua na Sauti nzuri mno haswa akisoma taarifa ya Habari, na vipindi kadhaa.
Hakukaa muda mrefu akaenda ITV Akiwa ni mmoja wa walioanzisha ITV & Radio One.
Mpaka sasa sauti ya Fauziyat Ismail Aboud bado iko vile vile kwa sababu nilimsikia mwaka huu akisoma Habari TBC Wakati wa maadhimisho ya siku ya Mapinduzi Ya Zanzibar. Hapa nimeandika kwa kifupi sana.
Huyu ndiye Fauziyat Ismail Aboud, Naomba mnisaidie kumtakia heri katika siku yake. HAPPY BIRTHDAY DA FAUZIYAT!!!!!!!
View attachment 3237656
Source Betty mkwasa
Naye si alikuwa anatangaza dtvHuyo ndiye wa Salum Mwalimu.
Na channel ten.Naye si alikuwa anatangaza dtv
Kipindi kile
Ova