Fb kuna watu wa ajabu sana, angalia huyu MTU alicho kifanya

Fb kuna watu wa ajabu sana, angalia huyu MTU alicho kifanya

Huyo utakuta ni mwanamke kauliza ivyo.

Ata hapa jf atokee member wa kike aulize jinsi ya ku-like post utashangaa page zitakavyo kimbia kama Usain Bolt sasa uliza wewe mwanaume chochote utapata jibu
Wengi madomo zege waliokubuhu kabisa
 
We ulimjibu nini??.
Ili tukushauri.
kwavile sipendagi ujinga na mimi nikamwambia weka pilipili kilo1½ kisha weka chumvi debe limao debe 3 ili wanijue na mimi sipendagi ujinga
 
Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
mbona ni kama na wewe akili zako ni kama tu hao jamaa zako wa fb
 
Huyo utakuta ni mwanamke kauliza ivyo.

Ata hapa jf atokee member wa kike aulize jinsi ya ku-like post utashangaa page zitakavyo kimbia kama Usain Bolt sasa uliza wewe mwanaume chochote utapata jibu

mkuu ni kweli kabisa hasa kule luv zone, jukwaa lao mimi lilinshangaza mno... kuna siku mpaka ikabidi niulize jamani mbona hii mada wadada wachangia sana kuliko nyuzi zote nilizo wahi kufungua na kusoma humu? tena nazani zilikuwa nyuzi za mtoto wa tandale diamond....
 
Back
Top Bottom