#FBF ... Flash Back Friday; Enzi za kale nikitoka shule nakimbilia Home kucheki katuni via DSTV, ambapo channel za katuni zilikuwa: K-TV [GoTV] (300), Cartoon Network (301), Boomerang (302), Disney Channel (303), Disney XD (304), Nickelodeon (305), Cbeebies (306), KidsCo (308) na Disney Jr (309). Nilikuwa nipo obsessed kinoma na katuni kama 'Ed, Edd n Eddy', 'Courage The Cowardly Dog', 'Flinstones', 'American Dragon', 'Jimmy Neutron' etc.
Mm bhna mwaka 2008 ilikua nkirud shule mida ya 10 au 9 nadhaNi nlkua naangalia chanel 10 cartoon kali eddie n edie, kuna john bravo ,ben ten na nyingine ila eddie n edie ndo nlkua naipenda saN

Tangu nikiwa mdg kwenye tv ilikuwa ni mpira na miziki tu hadi maza anamind kila akinikuta dogo natazama vichupi tu π
Upande wa katuni nilikuwa napenda kuchora kuliko kuangalia