Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,025
Wanabodi mimi ni miongoni mwa watanzania ambao hawana mwanga kuhusiana na maswala mazima ya sayansi za tiba.
Majuzi nimeenda hospitali flani hapa kwenye jiji la Bashite nikamkuta doctor mmoja binti flani hivi. Nikamuelezea shida zangu mbili, moja kidonda kwenye jicho la mguu na pili fangus kwenye vidole vya miguu.
Akaniandikia dawa zifuatazo Zetrine, ampiclox,dawa nyingine ya poda na dawa za maumivu,lakini kabla ya kuondoka akniambia pia niende maabara kufanyiwa kipimo tajwa hapo juu.Nikafanya kipimo hicho nikamrudishia majibu, cha kushangaza akaniambia hakuna tatizo bila ufafanuzi mwingine.
Naomba basi mnifafanulie wakuu, hicho kipimo ni chanini? Ila nashukuru kwakweli yule dada ni mkarimu hata Leo kanipigia kunijua hali but nimeogopa kumuuliza swali hilo.