Ile Jezi ya msimu huu uliyoisha ilikuwa siyo nzuri kwasababu ilienda kinyume na tamaduni ya jezi ya Barcelona ikiwa na draft draft badala na michirizi ya vertical. Ndio maana hatukufanya vizuri.
Jezi mpya ya msimu wa 2020/2021 imeshatoka. Jezi nzuri inapendeza inaakiskisi Barcelona yenyewe.