Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Nimeona kupitia Channel TEN jana na kwenye magazeti kuwa timu bora Ulaya ya FC Barcelona (veterans) itatembelea nchi hii na kuwa na mechi tarehe 28 March mwaka huu. Ni habari ya kufurahisha haswa kwa vile hasimu wetu Real Madrid walijiona sana kwa timu yao (veterans) kufanya ziara hapa. Barca, Barca, Baaaaaaaaaaarca karibu sana Tanzania.