Mi hata hiwa sioni umuhimu wowote wa hawa watu kuja Tz, kwani ni kujidanganya kuwa tutaweza kuinua kiwango cha mpira kwa kucheza mabonanza na hao, walikuja brazil mkadanganywa ni fulsa nzuri ya kuinua kiwango chetu cha mpira, hadi leo hakuna chochote, wakaja wakina figo na leo wanakuja wakina latric kluvet bado mnanidanganya tena, Andy cole amekuja mala ngapi? Kuna changes gani zimetokea, Hivi huwa hawaoni sehemu nyingine pa kwenda mwa watu walio serious na mpira wa miguu!!!! Au kuna agenda gani ya siri inayowavutia kila mala kuja Tz!??? Hapana there is something here, haiwezekani.