youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Wakati kombinesheni ya Messi, Suarez & Neymar ikizidi kufanya vizuri Ndani ya kikosi cha BARCELONA na kuwa tishio kwa vilabu pinzani duniani, Dar Young Africans ya Tanzania imekuja kivingine na combination ya wachezaji watatu ikiwemo mchezaji mpya aliyeingia msimu huu.
Wachezaji hao Ambao wamepewa jina la MTN ni Msuva, Tambwe & Ngoma, Yanga imeonekana kuimarika zaidi kwa kushinda mechi zake zote za kirafiki, ikiwa ni harakati za kujiandaa na Kombe la Kagame hapo july_18.
Mechi yake ya kwanza katika kombe la kagame Yanga itamenyana na Gor Mahia kutoka Kenya, mechi ambayo ni moja kati ya michezo mitatu ya ufunguzi.