youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Simba hafananishwi na nyau kiuwezo
MTN : Msuva Tambwe na Ngoma.
Hatareeeeee!
Mkuu' kwa kikosi hiki kipana cha yanga afrika cha msimu huu lazima timu pinzani zile kichapo,hahaaa! umeonae? mkolaj
Mkuu' kwa kikosi hiki kipana cha yanga afrika cha msimu huu lazima timu pinzani zile kichapo,
Huku winga ya kulia kuna msuva, winga ya kushoto kuna mwashiuya, kumi weka ngoma na center straiker anamaliza tambwe, hapo timu pinzani inatokaje salama!!!!?
Za uso tu kwa wakenya..