Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
nikikumbuka Barcelona walivyobebwa kwenye UEFA walipocheza na Chelsea mpaka Drogba akalia. Barcelona zama zake zimepita, mesi ameshachoka
Ahaahahh,point nzuri sanaukiona mtu kapewa penati ujue anashambulia sana kwenye box la mwenzake
vipi izo penati wanapewa za ofa au ni faulo ndani ya box?
AhahaahDaah,dunia inakwenda kasi sana! leo hii barca wanalalamikia refa!!!???
Ahahha,point swafiSpain Barca ni timu inayotoka Catalan
Jimbo linalotaka kujitenga..
Wakati Madrid ndo kama timu ya Taifa
Obviously kabisa Madrid wanakuwaga favoured kila mwaka..
Barca wanakuwaga mpira ndo unawasaidia.
Sasa timu imeanza kuchoka unategemea nini?
Madrid atapewa penati hadi apewe ubingwa..
Kama wakati wa Corona ingekuwa Madrid ndo anaongoza ..ligi ingevunjwa wakaipa ubingwa..
Barca mchawi ni Rais wao
Anasajili vituko Kwa pesa nyingi
Spain Barca ni timu inayotoka Catalan
Jimbo linalotaka kujitenga..
Wakati Madrid ndo kama timu ya Taifa
Obviously kabisa Madrid wanakuwaga favoured kila mwaka..
Barca wanakuwaga mpira ndo unawasaidia.
Sasa timu imeanza kuchoka unategemea nini?
Madrid atapewa penati hadi apewe ubingwa..
Kama wakati wa Corona ingekuwa Madrid ndo anaongoza ..ligi ingevunjwa wakaipa ubingwa..
Barca mchawi ni Rais wao
Anasajili vituko Kwa pesa nyingi
Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe. Kumbukeni mlioyafanya mechi ya UEFA hatua ya last 16 na PSG msimu wa 2016/2017. Usiku ule hata shetani anaweza washitaki mbwa wale wa barca. Tulieni dawa iwaingie. Malipo ni hapa hapa duniani.Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga atakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti
Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!
Messi tumeona anafunga goli linakataliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakalikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazama var refa anasema iwekwe penati!
Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
Mkuu huyo ni shabikiki mandazi. Muulize ansizungumzia FC BARCELONA au LDC ESPANYOL BARCELONA......Wewe unajua mpira kweli? Ansu na Puig ni wa kutarajiwa kuivusha Barcelona?
Mkuu leo barca wanamlalamikia mchezaji mwenzao🤣🤣🤣🤣Daah,dunia inakwenda kasi sana! leo hii barca wanalalamikia refa!!!???