Aende atimize ndoto.SAWA AENDE.
Unajua England, epl ,championship na ligi daraja LA kwanza no professionalCardiff itashuka daraja, bora asubilie dili lingine
Hili sio dil maana akishuka daraja atapoteza uboraKlabu ya Genk ya Ubelgiji imekataa dau la Euro milioni 13 kutoka kwa timu ya Cardiff City ya Wales.
Dau hilo ambalo liliwekwa jana jioni lilikuwa ni la kwanza kufanywa na haijulikani kama Cardiff City wataongeza dau hilo.
Cardiff City wanatafuta mshambuliaji na pia wanamfuatilia mshambuliaji wa Nantes Emiliano Sala.
Habari zaidi kufuata.
NB:
Habari hizi ni kutoka vyanzo mbalimbali.
Du kitengo hadi kwenye mpira [emoji50][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hamna madogo wengine wanaochipukia, kitengo ndiyo kinajukumu la kutengeneza Ma Samatta wengi Tanzania ila wamebaki tu kuratibu mipango ya ccm kubaki madarakani
Unamuuliza nani upuuzi kama huuHivi Samatta na Lukaku nani bora..povu ruksa
Mkuu unafikiri kitengo wapo kwaajili ya ulinzi na siasa tu?Du kitengo hadi kwenye mpira [emoji50][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waniweke hata huko basi ! [emoji50]Mkuu unafikiri kitengo wapo kwaajili ya ulinzi na siasa tu?