FC Nantes yajitosa kumwania Samatta

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Dogo Samatta, nenda tu France baba, mwaka mmoja ukigonga fresh unaibukia emirates kwa Wenger, Belgium unaenda kupoteza muda kama Mbokani, si alikuwa juu zaidi yako?

======================
======================
Chanzo; Foot365
 
Last edited by a moderator:
kama habari ina ukweli akimbilie uko mara moja! kwa mana hamna namna
 
Bado tunadharaulika, kwa sababu ya kujipendekeza. Mfungaji Bora wa Klabu Bingwa kwenda timu kama Genk, Nantes ni madharao... Vile vichezaji vya kiingereza vinawika robo msimu vinatangazwa kama vimefunga magoli 1000.
Kwa sasa aende, ila in long run haya sio maisha!
 
kama habari ina ukweli akimbilie uko mara moja! kwa mana hamna namna
Mkuu, ulitaka aende Man U?
 
nenda france samatta hiyo nantes iko nafasi ya 10 ukikipiga vizuri hapo lazima msimu ujao utaenda psg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…