nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo yote inachagizwa na watangazaji walewale waliokuwa Clouds Fm wamehamiya Crown Fm.
Maoni yangu Fear Competition Commission "FCC" na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania "TCRA" wapitie usikivu wa matamshi kwa upande wa wasikilizaji kuona kama kutakuwa na athari yoyote.