nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Mmh wewe hiyo ndo kero yako, watanzania buana lo!!! wakati huku tunaumiza na tozo zio sio elewekaJana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo yote inachagizwa na watangazaji walewale waliokuwa Clouds Fm wamehamiya Crown Fm.
Maoni yangu Fear Competition Commission "FCC" na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania "TCRA" wapitie usikivu wa matamshi kwa upande wa wasikilizaji kuona kama kutakuwa na athari yoyote.
Kudharau choices za wengine haifanyi uonekane mjanja. Redio zipo hadi Marekani na zina wasikilizaji kibao. Punguza ushamba au achana nao kabisa.Hivi bado kuna watu wanategemea kupata taarifa kupitia redio? Una kaa kabisa kusikiliza uchambuzi kutoka kwa watangazaji wapi?
Na hilo kundi ndio kubwa nchini, yaani mambo ambayo hayana faida kwa maisha yao ndio muda mwingi hutumia huko!! Nchi ya ajabu sanaMmh wewe hiyo ndo kero yako, watanzania buana lo!!! wakati huku tunaumiza na tozo zio sio eleweka
Sorry mkuu, hiv kwqn marekani ndio SI unit ya kila kitu?Redio zipo hadi Marekani na zina wasikilizaji kibao.
Kero yako, siyo yake...Mmh wewe hiyo ndo kero yako, watanzania buana lo!!! wakati huku tunaumiza na tozo zio sio eleweka
We upo kwa keybord umejificha, hebu nenda pale Msimbazi Polisi kalianzishe wadau tupo nyuma yako.Wenzenu kenya wanaandamana nyie mnajadiri msjina,vijana wa ovyo
Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo yote inachagizwa na watangazaji walewale waliokuwa Clouds Fm wamehamiya Crown Fm.
Maoni yangu Fear Competition Commission "FCC" na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania "TCRA" wapitie usikivu wa matamshi kwa upande wa wasikilizaji kuona kama kutakuwa na athari yoyote.
fair competition commission badala ya fear competition commission.Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo yote inachagizwa na watangazaji walewale waliokuwa Clouds Fm wamehamiya Crown Fm.
Maoni yangu Fear Competition Commission "FCC" na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania "TCRA" wapitie usikivu wa matamshi kwa upande wa wasikilizaji kuona kama kutakuwa na athari yoyote.
Mimi nimeshazeeka niliandamana sana enzi zangu za CUF ngangari,kenya wameandamana vijana wa 2000 kama wewe,you have nothing to lose,huna mke,huna mtoto huna ajira,We upo kwa keybord umejificha, hebu nenda pale Msimbazi Polisi kalianzishe wadau tupo nyuma yako.
Nenda pale TCRA kaombe leseni ya kuanzisha Redio station iitwayo "cloud" kama utapewa.Mtoa mana una matatizo ya akili ww, bc utakuja kusema cloud na clouds ni kitu kimoja.
Nyie ndio mkiwa viongozi mnaanza kufatilia madada poa wakati kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya.
Kupanga ni kuchagua. Huo ni Uhuru. Wakati wewe hujui namna Gani utatumia Pesa zako, wengine hawana hizo Pesa. Ila Nao ni watu kama wewe pia.Na hilo kundi ndio kubwa nchini, yaani mambo ambayo hayana faida kwa maisha yao ndio muda mwingi hutumia huko!! Nchi ya ajabu sana
Sawa lakini haiwezekani yaani mpira ndio umekuwa jambo la kufuatilia zaidi kuliko mambo yanayohusu maisha yao? Hata Brazil haipo hivyo bnana!! Na ndio karata ya ccm hapo kwenye yanga na simba,Kupanga ni kuchagua. Huo ni Uhuru. Wakati wewe hujui namna Gani utatumia Pesa zako, wengine hawana hizo Pesa. Ila Nao ni watu kama wewe pia.
Labda hiyo Crown FM ingeitwa Klaus FM ungekuwa na hoja kwa FCCJana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo.
Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo yote inachagizwa na watangazaji walewale waliokuwa Clouds Fm wamehamiya Crown Fm.
Maoni yangu Fear Competition Commission "FCC" na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania "TCRA" wapitie usikivu wa matamshi kwa upande wa wasikilizaji kuona kama kutakuwa na athari yoyote.
Hapo ni FairFear Competition Commission "FCC"