FCC (The fair competition commission) sijawaona kwenye mauzo ya Singida Big Stars wakitoa tamko

Superintendent kimura

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
333
Reaction score
1,316
FCC (The fair competition commission) kwenye mauzo yaliyofanyika ya kuuzwa Singida Big Stars kwenda Singida Fountain gates FC sijaona kabsa sehemu yeyote kama walishiriki huu mchakato wa mauziano.

Ila kama ingekuwa simba au yanga hawa Jamaa wa FCC wangekuwa wametoka hadharani kuulani mchakato mzima ila ni wanafiki balaa wanatumia tu kodi zetu za bure kunenepesha vitambi vyao
 
FCC (The fair competition commission) kwenye mauzo yaliyofanyika ya kuuzwa singida big stars kwenda Singida Fountain gates FC sijaona kabsa sehemu yeyote kama walishiriki huu mchakato wa mauziano ILA kama ingekuwa simba au yanga hawa Jamaa wa FCC wangekuwa wametoka hadhalani kuulani mchakato mzima ila ni wanafiki balaa wanatumia tu kodi zetu za bure kunenepesha vitambi vyao
Taasisi hewa Tanzania;
FCC
PCCB
TUME YA MAADILI
TUME YA HAKI ZA BINADAMU
TUME YA UWEKEZAJI
...
...
...
Ongeza!
 
FCC (The fair competition commission) kwenye mauzo yaliyofanyika ya kuuzwa singida big stars kwenda Singida Fountain gates FC sijaona kabsa sehemu yeyote kama walishiriki huu mchakato wa mauziano ILA kama ingekuwa simba au yanga hawa Jamaa wa FCC wangekuwa wametoka hadhalani kuulani mchakato mzima ila ni wanafiki balaa wanatumia tu kodi zetu za bure kunenepesha vitambi vyao
Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali, hakuna mchakato wowote wa kubinafsisha utakaofanikiwa, weka hili akilini mwako.
 
FCC (The fair competition commission) kwenye mauzo yaliyofanyika ya kuuzwa Singida Big Stars kwenda Singida Fountain gates FC sijaona kabsa sehemu yeyote kama walishiriki huu mchakato wa mauziano.

Ila kama ingekuwa simba au yanga hawa Jamaa wa FCC wangekuwa wametoka hadharani kuulani mchakato mzima ila ni wanafiki balaa wanatumia tu kodi zetu za bure kunenepesha vitambi vyao
Wanaangalia penye maslahi
 
Back
Top Bottom