Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapana hakijatoka FCC, 15/01/2021 FCC walitoa tangazo la uchunguzi wa mabadiliko wa klabu ya Simba na wakatoa siku 21 za kujibiwa hoja zao, yaani hadi 05/02/2021. Pili, hiki kinachoitwa tangazo au matokeo ya uchunguzi wa awali hakipo kwenye tovuti rasmi ya FCC.Hvi unajua waliopeleka pingamizi ni baadhi ya wanachama wa simba ni hiki kilichopo hapa kimetoka Fcc...
Mwenyekiti wao mstaafu Ismail Aden Rage alipowaita 'mbumbumbu' aliwaza mbali sana. Kwa sasa hawataki kusikia chochote kibaya kikizungumzwa kuhusu Mwamedi wao! Kisa tu anawalipa wachezaji mshahara.Ona huyu. Hata kinachoendelea hajui ila anapayuka tu.
Ukiweka ushabiki mbele huwezi kuelewaOna huyu. Hata kinachoendelea hajui ila anapayuka tu.
Shabiki wa kwanza wa Simba JF mwenye akili timamu. Nakupongeza sana kwa maoni haya mafupi lakini yaliyoshiba. Ukiangalia maoni ya wana Simba wengine hapo juu utafikiri wametoka baa ndo wakaandika. Sisi tusiofuata Usimba na Uyanga wenu tunapata shida kukutana na maoni ya watu wasiozingatia uhalisia wa tukio badala yake kuingiza ushabiki kila tukio. Utani ni muhimu kwa sababu ndo jadi lakini kufanya kila kitu utani ni utoto.Mambo ya kesi ni mahakamani simba tupo vizuri kwenye hilo hatutoki kwenye reli kwa kama mchakato umekosewa tutarekebisha # haturudi nyuma hadi simba iwe timu kubwa barani Africa
Ukiwa na akili za kiutopolo unaweza ukazeeka na usiwe na busara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwenyekiti wao mstaafu Ismail Aden Rage alipowaita 'mbumbumbu' aliwaza mbali sana. Kwa sasa hawataki kusikia chochote kibaya kikizungumzwa kuhusu Mwamedi wao! Kisa tu anawalipa wachezaji mshahara.
Huku wenyewe wakiwa busy kuingia na MAPAKA Meusi uwanjani ili kuwatisha wapinzani wao.
Meko alianza na Manji na Quality Plaza.
Sasa hivi meko kahamia kwa M
Shabiki wa kwanza wa Simba JF mwenye akili timamu. Nakupongeza sana kwa maoni haya mafupi lakini yaliyoshiba. Ukiangalia maoni ya wana Simba wengine hapo juu utafikiri wametoka baa ndo wakaandika. Sisi tusiofuata Usimba na Uyanga wenu tunapata shida kukutana na maoni ya watu wasiozingatia uhalisia wa tukio badala yake kuingiza ushabiki kila tukio. Utani ni muhimu kwa sababu ndo jadi lakini kufanya kila kitu utani ni utoto.
Waondoe upuuzi wao, mo apewe simba yake na sisi kama yanga tunamtaka boss MANJI arudi tupate ladha ya mchezoRI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.
M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)
2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)
3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)
4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)
5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.
6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.
7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.
8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.
09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.
10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)
11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.
Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili
🤣🤣Waondoe upuuzi wao, mo apewe simba yake na sisi kama yanga tunamtaka boss MANJI arudi tupate ladha ya mchezo
Nasema uongo ndugu zangu.