The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama Pfizer.
Hii chanjo ya 3 inatokana na uhitaji wa kuongezea nguvu chanjo za awali ili kukabiliana na kirusi cha Delta na kirusi kipya cha Lambda ambacho kimeanza kusambaa nchi mbali mbali na inasemekana kimeonyesha hakizuiwi na chanjo zilizopo.
Izrael na mataifa mengine machache tayari yalishaanza kuchanja watu hiyo dozi mpya ya chanjo ili kuimarisha chanjo za awali mwilini.
Soma zaidi hapa👇
finance.yahoo.com

U.S. FDA set to authorize COVID-19 vaccine boosters for immunocompromised patients - NBC News
The U.S. Food and Drug Administration is expected to authorize a third booster dose of COVID-19 vaccines by Pfizer Inc and Moderna Inc for people with weakened immune systems, NBC News reported on Wednesday. The health agency will amend the emergency use authorizations for the two vaccines as...