Hii ni battle ya men vs men,haiwezekani mtoto wa kiume mwenzako apambane na msichana wake kisha baadae uje umzunguke au kumpora kabisa,Uaminifu hukaa kwenye Imani kama huna Imani huwezi kuwa Muaminifu,tujitahidi haya maisha tusiumizane yani usitumie nguvu uliyo nayo kumkandamiza alie chini yako,hii sio fear kabisa,sisemi kama Mwanamke ni mbaya ama Mwanaume ni mbaya ila sisi binadamu wote ni wabaya.
Chukua na hifadhi kauli hizi pia uzijue kuzitofautisha kulingana na mandhari uliyo kuwepo
1}TAMAA MBAYA
Na
2}USIKATE TAMAA.