IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 801
Hello wadau,
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii.
Kila siku watu wanawaza kuwekeza katika miradi mbalimbali, wapo wanaofanikiwa na wanaokwama. Sababu za kufanikiwa au kukwama hujitokeza baada ya miradi kuanza ,jambo linalopelekea furaha au maumivu ya uwekezaji husika.
UCHAMBUZI YAKINIFU /feasibility study ya mradi wowote ni tendo mhimu kuhusu wazo au fursa fulani ya kiuchumi au kijamii nk, kuhusu uhakika na uwezekano wake wa kuleta tija au manufaa chanya ya maamuzi ya uwekezaji kutumia rasilimali za mradi.
Tendo hili hutoa fursa ya maamuzi sahihi ya kufanya au kutofanya uwekezaji husika au kufanya "on conditions"...Kukamilika kwa tendo hili ni mwanzo wa kuandaliwa kwa Andiko la mpango wa biashara au Andiko la mradi (ikiwa tu mapendekezo ya feasibility report yataonyesha uhalali na viashiria chanya vya kufanikiwa kwa mradi au biashara).
Ni ushauri wangu kwenu wadau stahili, wenye mawazo ya kimkakati kufuata ushauri huu, na ikiwapendeza, nikiwa mshauri katika hili, nipeni "Assignment za aina hii... Kufanya feasibility study na hatimae kuandaa Business plans/proposals au Project proposals".
Karibu
www.ipilimobusiness.blogspot.com
Mob: 0754734009