Feasibility study/uchambuzi yakinifu

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
Hello wadau,
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii.
Kila siku watu wanawaza kuwekeza katika miradi mbalimbali, wapo wanaofanikiwa na wanaokwama. Sababu za kufanikiwa au kukwama hujitokeza baada ya miradi kuanza ,jambo linalopelekea furaha au maumivu ya uwekezaji husika.

UCHAMBUZI YAKINIFU /feasibility study ya mradi wowote ni tendo mhimu kuhusu wazo au fursa fulani ya kiuchumi au kijamii nk, kuhusu uhakika na uwezekano wake wa kuleta tija au manufaa chanya ya maamuzi ya uwekezaji kutumia rasilimali za mradi.
Tendo hili hutoa fursa ya maamuzi sahihi ya kufanya au kutofanya uwekezaji husika au kufanya "on conditions"...Kukamilika kwa tendo hili ni mwanzo wa kuandaliwa kwa Andiko la mpango wa biashara au Andiko la mradi (ikiwa tu mapendekezo ya feasibility report yataonyesha uhalali na viashiria chanya vya kufanikiwa kwa mradi au biashara).

Ni ushauri wangu kwenu wadau stahili, wenye mawazo ya kimkakati kufuata ushauri huu, na ikiwapendeza, nikiwa mshauri katika hili, nipeni "Assignment za aina hii... Kufanya feasibility study na hatimae kuandaa Business plans/proposals au Project proposals".

Karibu
www.ipilimobusiness.blogspot.com
Mob: 0754734009
 
Hi inaitwa biashara ndan ya biashara

Kama unafanya bure sawa mkuu.
.
 
Hi inaitwa biashara ndan ya biashara

Kama unafanya bure sawa mkuu.
.
Hujaeleweka mkuu, feasibility study inafanywa BURE? Anyway, biashara ndani ya biashara... Pia sijakuelewa.
 
Toa elimu ueleweke mkuu..!
Unazungumzia feasibility study wakati wewe umeshindwa kuifanya humu humu JF kubaini uwepo wa viashiria chanya vya kuendeleza biashara yako huko IPILIMO..
 
Hivi ni UPEMBUZI au UCHAMBUZI yakinifu?
 
Toa elimu ueleweke mkuu..!
Unazungumzia feasibility study wakati wewe umeshindwa kuifanya humu humu JF kubaini uwepo wa viashiria chanya vya kuendeleza biashara yako huko IPILIMO..
Umeeleweka mkuu. Uko vizuri. Wakati unanielewesha, pia kuna baadhi tumewasiliana Kwa simu nikawaelewesha kwa kadri ya uhitaji wao, maana Upembuzi husika hutofautiana Kati ya wazo moja na lingine... Ndani ya JF sijaja kufanya upembuzi, nimeleta wazo kama ilivyo post, wapo wanaofahamu tayari na wasiofahamu chochote. Kwaivo ndg nashukuru kwa comment yako, remain blessed, and encouraging others wishing to know more about feasibility studies, especially on socio-economic undertakings to respectively consult. Na elimu hii kwa nafasi tutaendelea kupeana, Karibu pia kwa wale wenye knowledge hii tusaidiane kutoa Elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…