MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Naiona February ya mwaka huu iliyosheheni neema kwa upande mmoja huku ikiwa imejaa sintofahamu kuuubwa kwa upande mwingine.
Ok tuangalie upande wa mema na tumshukuru Mungu muumba wa vyote wakati huo huo tuangalie kwa tahadhari na upande mwingine uliojaa sintofahamu, mishangao, hamaki, na ushabiki.
Alikuwa Ni zitto kabwe aliyewafanya raia wa nchi hii kila Mara asitoke vinywani mwao, wapo waliomuona shujaa kwa kitendo chake alichofanya kuzuia mkopo wa tz Kule Wb,Kuna wakina Mimi tuliomshangaa na kumtilia mashaka huyu ni mzalendo wa Aina gani huyu.
hilo halijaisha akaibuka POMPOO (mnisahihihe Kama nimekosea jina lake) tukaambiwa yeye na mabeberu wenzake wamempiga Makonda marufuku ya kukanyaga nchini mwao kwa sababu ambazo kila mtu mwenye akiri timamu amebaki anajiuliza hivi hawa wanajielewa kweli au wamelewa gongo?
Wapo waliodai ni kwa sababu mkonda alifurusha mashoga, wengine wanadai anayetafutwa ni baba mwenye nyumba dogo kafanywa chambo tu, kwa vyovyote iwavyo wakina Mimi tutasimama na makonda hata Kama ana makosa huo ndo uzalendo kupenda cha kwako hata Kama ni kibayaaaa huku tukiwaombea baadhi ya wenzetu wale wepesi kulishwa Sumu na mabeberu na wakaimeza kweli kweli. Tujenge mazoea ya kupenda na kutetea vya kwetu huo ndo uzalendo.
Hapa kazi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app