February hainaga mambo mengi imeanza tu weekend tayari

MR KUO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
2,678
Reaction score
3,818
Naiona February ya mwaka huu iliyosheheni neema kwa upande mmoja huku ikiwa imejaa sintofahamu kuuubwa kwa upande mwingine.

Ok tuangalie upande wa mema na tumshukuru Mungu muumba wa vyote wakati huo huo tuangalie kwa tahadhari na upande mwingine uliojaa sintofahamu, mishangao, hamaki, na ushabiki.

Alikuwa Ni zitto kabwe aliyewafanya raia wa nchi hii kila Mara asitoke vinywani mwao, wapo waliomuona shujaa kwa kitendo chake alichofanya kuzuia mkopo wa tz Kule Wb,Kuna wakina Mimi tuliomshangaa na kumtilia mashaka huyu ni mzalendo wa Aina gani huyu.

hilo halijaisha akaibuka POMPOO (mnisahihihe Kama nimekosea jina lake) tukaambiwa yeye na mabeberu wenzake wamempiga Makonda marufuku ya kukanyaga nchini mwao kwa sababu ambazo kila mtu mwenye akiri timamu amebaki anajiuliza hivi hawa wanajielewa kweli au wamelewa gongo?

Wapo waliodai ni kwa sababu mkonda alifurusha mashoga, wengine wanadai anayetafutwa ni baba mwenye nyumba dogo kafanywa chambo tu, kwa vyovyote iwavyo wakina Mimi tutasimama na makonda hata Kama ana makosa huo ndo uzalendo kupenda cha kwako hata Kama ni kibayaaaa huku tukiwaombea baadhi ya wenzetu wale wepesi kulishwa Sumu na mabeberu na wakaimeza kweli kweli. Tujenge mazoea ya kupenda na kutetea vya kwetu huo ndo uzalendo.

Hapa kazi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utasimama na Makonda kwa vile atawatukana na kuwadhalilisha mbele ya wake zenu na watoto wenu endelea tu kusimama nae. Wengine watasimama na Pompeo anaemkanya; mtu anawadhiaki na kuwadhalilisha watumishi wa Umma kila kukicha wewe ndo unasema unasimama nae; kodi aligoma kulipa kwenye ishu ya makontena mpaka waziri mpango akatishia kujiuzulu yeye aliona sawa tu.

Mh Rais akaongelea ishu ya kodi ya makontena ya Makonda kama kwamba anambembeleza. nanukuu kauli ya rais ''si ulipe tu kodi mambo yaishe''...lakini kuna watu wapo ndani kwa kudhaniwa tu kua wanataka kukwepa kodi na uchunguzi haujaisha adi leo.
Ipo siku atakupiga kofi t.ak.on.i ndo utasema kumbe jamaa hana adabu
 
Anipige Kofi Tak.... Mbona namla nyama!!!

Mimi nimesema nasimama nae kwenye masuala ya kitaifa hayo ya Kodi, Kama hakulipa it mean hakuna Cha kulipa mule. Kuhusu kutukana watu mbona kawaida tu watu huku tunatukana matusi yote na tunatukanwa pia. Pompeo anamuonya makonda Kama Nani?
Angekuwa kaandamwa na mtu wa ndani sawa ila sio hao wakina pompeo walioappear from unknown na kuanza kutoa adhabu kwa vitu visivyo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…