February:kwa nini kuna mwaka una siku 28 na mingine 29

Je kuna scientific proof au ni faith tu?
 
moses gani? wacha uongo.
 
Namba tu. Miaka ya nyuma ilikuwa siku 3 ni mwaka tofauti na sasa siku 360 kizungu
 
Musa yupi alipigana vita kuelekea nchi ya ahadi?
Au unamaanisha Wana wa Israel walipokuwa wanaelekea kuiteka Yericko,walimuomba Mungu kuisimamisha jua ili waweze kupigana?Kiongozi wa vita hakuwa Musa bali Joshua
 
Mwaka una siku 360 na robo,sasa ile robo huwa inajumlishwa kila baada ya miaka mitatu na ule wa nne ndo inakuwa mwaka mrefu wenye siku 361 naitwa leap year (mwaka mrefu).hiyo siku huongezwa mwez february ukafikisha siku 29.miaka ile mitatu mifupi ina siku 360 tuu.
 
Kama mwaka una siku 365 na 1/4 basi hiyo robo siku ndio tunaifidia baada ya miaka minne ili kuanza kuhesabu siku upya yaani 1/4 ukizidisha mara 4 unapata siku nzima ndio maana baada ya miaka minne mwezi February unakuwa na siku 29 mengine sijui.
 
Wew jamaa nimuongo sanaaa daah....but umenifanya niongeze cku kwa kucheka
 
Kama mwaka una siku 365 na 1/4 basi hiyo robo siku ndio tunaifidia baada ya miaka minne ili kuanza kuhesabu siku upya yaani 1/4 ukizidisha mara 4 unapata siku nzima ndio maana baada ya miaka minne mwezi February unakuwa na siku 29 mengine sijui.
Kama nakusoma hv..nilikosea mwanzo
 
Katika kipindi cha kila miaka 4 kuna mwaka mmoja ambao ni mrefu una siku 366.. hivyo ni 365,365,365 na 366.
hivyo siku moja inayoongezeka katika siku 365 katika kila miaka minne ni 365 1/4 au (365+365+365+36)/4
=(1,461)/4 = 365.25. Hii ni sawa na 365+0.25 au 365+1/4..
 
Wew jamaa nimuongo sanaaa daah....but umenifanya niongeze cku kwa kucheka
Hizi kalenda walizipanga wanadamu tuu,ingewezekana tusihesabu mwaka wala nini.Watawala wa Rumi na baadae mapapa ndo waliwekabhesabu hizi ili kutenganisha vipindi vya utawala wao.
 
Walio zaliwa Feb 29 mwaka huu hawana happy birthday [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Za asubuhi wadau? Kuna kitu sijawahi kujua kwann mwezi wa pili una siku 28 na 29? Kwa wale wajuzi wa hii kitu naomba mnieleweshe maana mtoto anaweza kuja kukuuliza ukabaki unamwambia kaniletee Maji ya kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…