#COVID19 Fedha za COVID-19 za moto. Rais Samia aapa kuwashughulikia watakaozitamani wazifisadi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.

Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.

Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.

Mungu ni mwema wakati wote!
Na wale watumishi wa afya Amana na Mlonganzira waliohudumu kwenye makambi ya Corona posho zaonwatalipwa lini? Serikali iliahidi kuwalipa posho.lakini naona wamenyuti
 
Watalipwa

Serikali ya CCM ni sikivu!
 
Hadithi za Abunuwas hizo. Ripoti ya CAG Kichere ambayo imejaa wizi, ufisadi na ubadhirifu wa hali ya juu wa trillions za walipa kodi inapigwa vumbi Ikulu. Ripoti ya Wabunge kuhusu deni la ATCL la 429 billions nayo inapigwa vumbi. Maushungi hana jipya zaidi ya KUDEMKA.

Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.

Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Zinatumika kufanya nini ?
Hayo matangazo tunayoyasikia kwenye Redio, TV na watu Kuhamasisha ?

Kama ndivyo na huo ni upigaji tu..., tunakumbuka shuka wakati kumeshakucha.., bora hizo pesa zitumike kwenye issue nyingine za Afya kama vile kuwa na facilities za kutosha ili ikija phase nyingine watu wasikose huduma
 
Serikali haina mifumo ya kisayansi ya kudhibiti wizi. Zitaliwa na hawatafanywa chochote. Kipilimba alipokuwa DG alijaribu kwa kiasi fulani kuzuia upigaji serikalini such as wafanyakazi hewa, NIDA, control number, malipo ya mishahara etc etc. That was scientific. Kule halmashauri inahitajika science na mifumo ya kisayansi kuwadhibiti. Mama hata akipiga kelele, bila scientific approaches, zitaibwa tena in a broad daylight.
 
Upo sahihi kabisa, magu ndo alikuwa anaweza kutisha mapigaji......kwa huyu mama sijui......
 
Tuanze na wale aliowaundia Tume ya Uchunguzi pale BoT?

Je, matokeo ya tume ile ameshayatoa, au bado?!

Kama yameshatolewa kwa kuwa muda mrefu umeshapita, je wale waliotajwa kukwiba mabilioni pale BoT ameshawashughulikia?

Kama hayo matokeo hajayatoa, anagwaya gwaya nini?! Kakuta kaa la moto, sio? Na kama ndivyo, ikiwa huko tu amekosa ujasiri wa kuchukua uamuzi, hivi sasa huo ujasiri atautolea wapi?
 
Zinatumika kufanya nini ?
Hayo matangazo tunayoyasikia kwenye Redio, TV na watu Kuhamasisha ?

Kama ndivyo na huo ni upigaji tu..., tunakumbuka shuka wakati kumeshakucha.., bora hizo pesa zitumike kwenye issue nyingine za Afya kama vile kuwa na facilities za kutosha ili ikija phase nyingine watu wasikose huduma
Poyoyo wewe hujui chochote,sekta ya Afya inaenda kufanyiwa overhaul
 
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.

Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.

Mungu ni mwema wakati wote!
Mwendazake Aliwahi kusema UKILA PESA ya Serikali UTAITAPIKA Matokeo yake Fedha IKALIWA wahusika Wakacheua kwa Shibe
 
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.

Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.

Mungu ni mwema wakati wote!
Furahisha genge (ama ukipenda unaweza kuita "tishia nyau") tu hii. Serikali yake imejipambanua kwa kushindwa kuzuia ufisadi Sana sana tuseme, serikali yake inalea ufisadi.
 
Back
Top Bottom