johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na wale watumishi wa afya Amana na Mlonganzira waliohudumu kwenye makambi ya Corona posho zaonwatalipwa lini? Serikali iliahidi kuwalipa posho.lakini naona wamenyutiKwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.
Mungu ni mwema wakati wote!
WatalipwaNa wale watumishi wa afya Amana na Mlonganzira waliohudumu kwenye makambi ya Corona posho zaonwatalipwa lini? Serikali iliahidi kuwalipa posho.lakini naona wamenyuti
Hilo neno la usikivu lilishapitwa na wakati sanaWatalipwa
Serikali ya CCM ni sikivu!
Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.
Mungu ni mwema wakati wote!
Serikali haina mifumo ya kisayansi ya kudhibiti wizi. Zitaliwa na hawatafanywa chochote. Kipilimba alipokuwa DG alijaribu kwa kiasi fulani kuzuia upigaji serikalini such as wafanyakazi hewa, NIDA, control number, malipo ya mishahara etc etc. That was scientific. Kule halmashauri inahitajika science na mifumo ya kisayansi kuwadhibiti. Mama hata akipiga kelele, bila scientific approaches, zitaibwa tena in a broad daylight.Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.
Mungu ni mwema wakati wote!
Upo sahihi kabisa, magu ndo alikuwa anaweza kutisha mapigaji......kwa huyu mama sijui......Serikali haina mifumo ya kisayansi ya kudhibiti wizi. Zitaliwa na hawatafanywa chochote. Kipilimba alipokuwa DG alijaribu kwa kiasi fulani kuzuia upigaji serikalini such as wafanyakazi hewa, NIDA, control number, malipo ya mishahara etc etc. That was scientific. Kule halmashauri inahitajika science na mifumo ya kisayansi kuwadhibiti. Mama hata akipiga kelele, bila scientific approaches, zitaibwa tena in a broad daylight.
Maji hayapimwi kwa kijitiManeno tu na ndio kawaida
Poyoyo wewe hujui chochote,sekta ya Afya inaenda kufanyiwa overhaulZinatumika kufanya nini ?
Hayo matangazo tunayoyasikia kwenye Redio, TV na watu Kuhamasisha ?
Kama ndivyo na huo ni upigaji tu..., tunakumbuka shuka wakati kumeshakucha.., bora hizo pesa zitumike kwenye issue nyingine za Afya kama vile kuwa na facilities za kutosha ili ikija phase nyingine watu wasikose huduma
Mwendazake Aliwahi kusema UKILA PESA ya Serikali UTAITAPIKA Matokeo yake Fedha IKALIWA wahusika Wakacheua kwa ShibeKwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.
Mungu ni mwema wakati wote!
Furahisha genge (ama ukipenda unaweza kuita "tishia nyau") tu hii. Serikali yake imejipambanua kwa kushindwa kuzuia ufisadi Sana sana tuseme, serikali yake inalea ufisadi.Kwa wale wapiga dili na mission town waliokaa mkao wa kula wakisubiri kufisadi fedha za Corona onyo limeshashatolewa.
Rais Samia amesema atawashughulikia watakaozifisadi au watakaobadilisha matumizi yake bila makubaliano.
Mungu ni mwema wakati wote!