Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
Heshima mbele wakuu na vigogo.
Nina swali limekuwa lininiumiza kichwa na kunitia hofu kwa siku kadhaa sasa, wakati serikali ikiwa katika mshike-mshike huu wakuwapekeka watuhumiwa wa matosa ya fedha za akaunti za nje EPA, usimamizi mbovu wa mikataba(on progress) na utumiaji mbovu wa madaraka na n.k. Nakutozwa kiasi kikubwa cha fedha taslimu (cash) kama dhamana.
Swali langu linakuja hivi:-
1. Je fedha hizo zinawekwa wapi kwenye account gani?.
2. Kwa kuwa watuhumiwa hawa wamekuwa wakitozwa kiasi kukubwa cha fedha za dhamana je hii haiwezi kupunguza kiasi cha fedha kwenye mzunguko na soko la fedha na hapo kuiweka nchi katika hali mbaya kiuchumi na kupanda kwa hali ya maisha.
MJ