Fedha za kujikimu kutoka HESLB

Fedha za kujikimu kutoka HESLB

sakya

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
25
Reaction score
8
Habar zenu wadau. Eti ni utaratibu gani unatumika katika kuweka pesa za wanafunzi kutoka bodi ya mkopo. mpaka kwenye akaunt za wanafunzi. Na inachukua mda gani.

Maaana naona kama watu ni wengi sana.
 
Back
Top Bottom