sakya Member Joined Jul 17, 2014 Posts 25 Reaction score 8 Mar 18, 2015 #1 Habar zenu wadau. Eti ni utaratibu gani unatumika katika kuweka pesa za wanafunzi kutoka bodi ya mkopo. mpaka kwenye akaunt za wanafunzi. Na inachukua mda gani. Maaana naona kama watu ni wengi sana.
Habar zenu wadau. Eti ni utaratibu gani unatumika katika kuweka pesa za wanafunzi kutoka bodi ya mkopo. mpaka kwenye akaunt za wanafunzi. Na inachukua mda gani. Maaana naona kama watu ni wengi sana.