Fedha za nchi 7 kutoka Afrika ambazo zina thamani zaidi

Amen
 
Kipato chao ni kikubwa wakati kipato chako kidogo sasa ukifika kule unashindwa. Mfano Nairobi parking ni Ksh 300 na gari zimejaa hapo Dar ni shilingi ngapi kwa siku na watu wanalia
Hujajibu Maswali mkuu, Parking kubwa sio justification ya maisha kuwa ghali...
Upatikanaji wa Basic needs mfano chakula na Malazi ni mgumu ndo maana vitu viko na bei na sio kuwa wako na vipato vikubwa ndo maana vitu viko ghali....
 
Hujajibu Maswali mkuu, Parking kubwa sio justification ya maisha kuwa ghali...
Upatikanaji wa Basic needs mfano chakula na Malazi ni mgumu ndo maana vitu viko na bei na sio kuwa wako na vipato vikubwa ndo maana vitu viko ghali....
Hakuna ambacho hakipatikani Nairobi vyakula vipo vya kutosha na Ukiangalia manunuzi unaona watu wana nguvu ya kununua kwahiyo kusema maisha ni magumu ni wewe na hela yako ndogo toka Tanzania
 
Hiyo figure ya Zambia sio sahh
 
Uchumi nao ni janga la taifa kama ilivyo hesabu,hivi nchi kama ghana au zambia zinazidiwa uchumi na Tanzania alafu leo hela zao zije kuwa na thamani kuzidi ya Tanzania hizi zitakuwa ni akili au matope au unaangalia ukubwa wa figure
Ni sawa na kusema kenya wanauchumi mkubwa kuliko Tanzania alafu leo hela ya Tanzania iwe na thamani zaidi ya hela ya kenya haya yatakuwa maajabu
 
Kwenye hiyo orodha ulioweka hapo nchi ambazo fedha yake ina thamani ni South africa,morocco na sudan
 
Hakuna ambacho hakipatikani Nairobi vyakula vipo vya kutosha na Ukiangalia manunuzi unaona watu wana nguvu ya kununua kwahiyo kusema maisha ni magumu ni wewe na hela yako ndogo toka Tanzania
Acha uongo hapa niemishi nairobi miezi 3 nairobi maisha ni magumu kuanzia vyakula mpaka malazi
 
Hii ya pound kuwepo, halafu shilling kukosa inanitatiza kidogo.
 
Kwanza unapozungumzia nguvu ya fedha ni uwanja mpana sana lakini pia pamoja na fedha kuwa moja ya factor 6 zinazohusika na Uchumi lakini pia thamani ya fedha aina mahusiano ya moja kwa moja na Uchumi
kwani kuna vitu viwili ndani ya fedha
1 Fedha(currency)
2 Thamani ya fedha

Sasa bhasi hoja ni fedha si Uchumi so tutakijita kwenye maswala ya kifedha kwanza tunatakiwa kujua

1 Thamani ya fedha haipimwi kwa matumizi ktk manunuzi au huduma

2 Thamani ya kitu inapimwa kwa ubora(quality) si wingi(quantity) au uchache wa zero

3 Thamani ya fedha Inapimwa dhidi ya fedha zingine

kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currently unapozungumzia monitoring inamaana kuangalia thamani yake dhidi ya sarafu zingine na moja ya kazi 6 za bank kuu ni kudhiti mfumuko wa Bei
1 print money
2 control supply of money
3 Set the Reserve Requirement
4 Influence Interest Rates
5 Engage in Open Market Operations
6 Control inflation

Mfumuko wa Bei ni kigezo moja wapo cha kushusha thamani ya fedha katika vigezo vinne ya kushusha au kupandisha fedha mfumuko wa Bei nayo ni moja ya sababu japo hii ni sababu za ndani si za nje kwani nguvu soko na mahitaji ndio uamua thamani au Bei ya huduma au bidhaa sokoni


Political Stability and Economic Performance ........
 
1: Dinar – Libya (1$= 1.4116)

Dinar ambayo ni fedha ya Libya inakamata nafasi ya kwanza kwa kuwa fedha yenye thamani na nguvu kubwa barani Afrika ambapo Dola moja hubadilishwa kwa Dinar 1.4116.

Hii picha iliyopo katika pesa ya Libya ndio yule jamaa aliyemuua Muamar Ghadaff au?
 


...waiting to load up on this.
 
Kwacha ya Zambia haifiki hata robo kwenye shilingi....

Walichofanya Zambia ni kupunguza sifuri walikuwa na noti ya lakimoja.

Kiuhalisia 1000kwacha = 225 shilingi...

Nenda mtanzania ukaishi Zambia utaona maisha ni gharama mno.....Ila Mzambia akija Tanzania anashangaa maisha yalivyomteremko....
 
Kwa maana hiyo Cedis ya Ghana ina nguvu kuliko hela nyingine hapo juu lakini nimekuwa uko mara nyingi pamoja na kuwa na nguvu lakini purchasing power yake ni ndogo kulinganisha na shilingi yetu. kitu ambacho utakinunua kwa dola kumi Tanzania ukichenji kule unakinunua kwa sawa na dola 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…