Fedha zetu NBC zipo salama?

Fedha zetu NBC zipo salama?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Wana jf heshima kwenu.
Naomba kuuliza ili kuondoa hofu/au kupata uhakika na sakata linaloendelea ndani ya NBC.
Sie walala hoi tuliohifadhi vijisenti vyetu huko NBC hatupati usingizi tunaweweseka na kupata nusu wazimu.
Tulishawahi kulizwa na bank iliyokuwa inaitwa meridian biao je? haya hayawezi kutokea NBC?

Maelezo yaliyitolewa na benki kuu BOT ndio yameongeza hofu zaidi
(zingatia kila maelezo yanayotolewa na serikali pamoja na vyombo vyake hayaaminiki asilani/huzidi kutia hofu)

Kwa sisi watu masikini ni bank ipi inatufaa?

Natanguliza shukran za dhati.
 
Mkuu zingatia kwamba benki haiendeshwi kwa vyombo vya habari. Kinachozungumzwa ni umiliki wa benki na sio operations za benki. Serikali ndo inatakiwa kuumiza kichwa hapa ili kulipa deni la absa. Kama haitalipa serikali itapoteza hisa zake lakini operations zinaendelea. Ifahamike kwamba kuna viashiria kadhaa vinavyoweza kuonesha hii taasisi inakufa ama la. Kwa mfani kupata hasara, kushindwa kulipa madeni na kugharimia shughuli zake, key ratios ku-deteriorate n.k. Nbc so far sioni shida hiyo japo tunasikia non performing loans ziko juu. Ikumbukwe kwamba hizi non performing loans kuna watanzania kibao wamekopa huko na hawana utayari wa kurejesha. Kwa hiyo kama hii benki inakufa leo kuna watanzania wengi watahitaji lawama. Sio tu walioiuza kwa bei chee bali pia na wale ambao wanakopa halafu hawataki kurejesha
 
Mkuu nashukuru kwa majibu yako mujarab,
Je? kama ikitokea hivyo kuna namna yoyote ya kurudishiwa fedha zetu?
 
Mkuu zingatia kwamba benki haiendeshwi kwa vyombo vya habari. Kinachozungumzwa ni umiliki wa benki na sio operations za benki. Serikali ndo inatakiwa kuumiza kichwa hapa ili kulipa deni la absa. Kama haitalipa serikali itapoteza hisa zake lakini operations zinaendelea. Ifahamike kwamba kuna viashiria kadhaa vinavyoweza kuonesha hii taasisi inakufa ama la. Kwa mfani kupata hasara, kushindwa kulipa madeni na kugharimia shughuli zake, key ratios ku-deteriorate n.k. Nbc so far sioni shida hiyo japo tunasikia non performing loans ziko juu. Ikumbukwe kwamba hizi non performing loans kuna watanzania kibao wamekopa huko na hawana utayari wa kurejesha. Kwa hiyo kama hii benki inakufa leo kuna watanzania wengi watahitaji lawama. Sio tu walioiuza kwa bei chee bali pia na wale ambao wanakopa halafu hawataki kurejesha
yaani ABSA tumewapa bank kwa bei ya kutupa na majengo kila kitu wamekuja mikono mitupu,bado na pesa tuwape tena?sasa kuna faida gani ya huyu muwekezaji?kila mkataba eerilali huishia kuingia mfukoni kumlipa muwekezaji
 
Kuna mijitu itakuja na kudai hatuna fedha NBC.. fedha ni za wawekezaji na sisi hatuna chetu.. Lakini mbaya zaidi wameshaanza kupiga kwenye gas.. Kamati ya Zitto imeagiza Mikataba ya Gas kati ya TPDC na wawekezaji wamejinyeanyea kuiwasilisha mbele ya KAMATI..

Tumeshaliwa hata huko kwenye GAS.. angalia hapa

[h=5]Zitto Kabwe
[/h]1 hr ·

PAC iliagiza Shirika la TPDC kuwasilisha mikataba ya Gesi asilia kwa Katibu wa Bunge ifikapo Jana tarehe 29 Oktoba 2014, kabla ya Mwisho wa saa za kazi. TPDC wameandika barua kwa Katibu wa Bunge ndani ya muda kuomba kuongezewa muda kwani mikataba ni mikubwa na inachukua muda kutoa nakala. Pia wamesema ni lazima kupata ruhusa ya wawekezaji kabla ya kutoa mikataba hiyo.
PAC imeanza mchakato wa kisheria dhidi ya Shirika hilo kwa mujibu wa Sheria ya Kinga na Madaraka ya Bunge.
Kwa maelezo zaidi Makamu Mwenyekiti wa PAC ndg. Deo Filikunjombe ataeleza.

Like

Kuhusu uendeshaji wa mashirika ya umma na usimamizi wa rasilimali zetu ni kweli kuna tatizo kubwa. ni kwa sababu kila mtu anawaza achukue cha kwake asepe. Hata hizo sheria zinatungwa na hao hao ili zije kuwakinga wenyewe. Kuna kitu lazima kifanyike, tunaanzia wapi hilo ndo gumu. Mfumo wa maisha yetu umekaa kwa namna ambayo fikra za ukombozi hazipo tena na kila mtu anawaza ntapataje hela nile, nionekane ninazo. Ubinafsi tu umetujaa. Kulikomboa taifa hili na rasilimali zake ni lazima watu kadhaa wajisacrifice for tomorrow of Tanzania. Issue hapa ni nani atamfunga paka kengele?
 
sacrifice for tomorrow ,hicho ndio kitu ambacho watanzania wengi hawawezi kufanya na ndiomaana tumefika hapa tulipo
 
Wana jf heshima kwenu.
Naomba kuuliza ili kuondoa hofu/au kupata uhakika na sakata linaloendelea ndani ya NBC.
Sie walala hoi tuliohifadhi vijisenti vyetu huko NBC hatupati usingizi tunaweweseka na kupata nusu wazimu.
Tulishawahi kulizwa na bank iliyokuwa inaitwa meridian biao je? haya hayawezi kutokea NBC?

Maelezo yaliyitolewa na benki kuu BOT ndio yameongeza hofu zaidi
(zingatia kila maelezo yanayotolewa na serikali pamoja na vyombo vyake hayaaminiki asilani/huzidi kutia hofu)

Kwa sisi watu masikini ni bank ipi inatufaa?

Natanguliza shukran za dhati.
Hii benki mi inanipa hofu kuliko. Hapa ninapotoa hii comment siwezi kuaccess account yangu wala kutoa hela eti siku-update taarifa zangu na itanibidi kusubiri mwezi mmoja hadi miwili taarifa zangu wazi-update ndo niwe na access na acount yangu. Jamani naomba mnisaidie kwa hili nifanyeje? Hivi ni kweli mmiliki wa account ku-update taarifa zake kuchukue muda hivyo? 1-2 months?
 
Thats not true...mayb uwe umekosea hizo information umeambiwa lete hiki ukapeleka kile ndipo watanzania wengi tulivyo tunapenda vitu faster faster pasipo kutulia na kufuata nini tunaagizwa kufanya ili kutekeleza hitaji letu ASAPs
 
Student spotted. :mmph::mmph:
 
Back
Top Bottom