Swali hili limewahi kuulizwa na mzee Joseph Butiku ktk barua yake kwa mwenyekiti wa CCM wa wakati huo B.W. Mkapa nami napenda kuuliza fedha hizi zinazotumiwa na watu katika genge la udini zinatoka wapi?
Ni vyema tujue maana nchi yetu sasa inapita ktk kipindi kigumu sana cha udini kama taifa inatupasa kuangalia suala hili kwa umakini sana maana udini huweza kupasua makundi bila kujali vyama ukanda au ukabila wa watu....
Namaliza kwa swali langu: Wakuu, fedha zinazotumiwa na wanaozunguka nchi nzima kuhubiri udini zinatoka wapi? Na tufanye nini kama taifa kujiepusha?

ndo majini yalivyokutuma??? naongelea mijadala yenu ya mfumo kristo mnapata wapi fedha?? na hiyo ndoa yako na ccm ni ya mashakaChristian Democratic Union CDU ya Ujerumani, Chama Cha Kikristo cha siasa cha ujeumani ambao ni wafadhili wakuu wa CHADEMA Tanzania.