FEED-BACK ina maana gani kwa kiswahili??

FEED-BACK ina maana gani kwa kiswahili??

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
naomba kupatiwa tafsiri ya hilo neno hapo juu.
 
'lisha-nyuma' teheheheheeee....!! Kiswahili noma!
 
Kama ni mtihani wote mnafeli. Ameuliza MAANA yake (unless ni makosa ya kimantiki), mlichotoa ni TAFSIRI yake.

Kwenye kichwa cha habari kauliza maana kwenye utumbo wa habari kataka tafsiri. Rejea post yake.
 
FEEDBACK....MRISHO NYUMA and FEED FORWARD.......MRISHO MBELE, : Maneno haya mawili hutumika ktk Management Control.... Feedback likimaanisha uangaliaji wa shughuli za kiutawala ili kujua mwenendo wa shughuli zinavyoendelea kwenye organisation au kampuni huku ukilinganisha na malengo yako. feedforward hii inakuwa ni shughuli za uzalishaji zinapokuwa zinaendelea basi unafanya monitoring na kutoa taarifa kwa panapohusika ili kuendelea kulekebisha mambo yenyewe..., Ni maneno mawili kama tunavyoweza kusema Summative evalutaion .... na .. formative evaluation kwenye mambo ya Kiproject... UMENISOMA....
 
Feed-mlisho,mlo,
back-nyuma,rudi
feed=mlo unaorudi,tapika
teh teh teh yaani hapo ni 'MATAPISHI'
 
Back
Top Bottom