Feedback FEEDBACK..!

Kweli Miss Mwakipunda mapenzi ya siku izi yameingiwa na pesa, ki ukweli hapa nimejifunza na nimegundua kitu
Kaka yangu kwa jinsi mapenzi siku hizi yalivyo ni kama sinema usithubutu kutanguliza pesa mwanzoni. Inavyoonekana alishakusoma akajua unazo. Mwanamke gani siku ya tatu tu ushaanza kuomba hata haya hana kha!
 
Last edited by a moderator:

halafu unakuta hujawahi kumpa hata mama yako mzazi kipande cha khanga.
 
Uwe na nidhamu si kila unae muona humu usidhani ni mtoto kama umerithi tabia chafu kutoka kwa wazazi wako usi zilete humu jamvin ziishie huko huko kwa wazazi wako. Nani analilia humu?
Si ungemchana live ya nini kuja kulia lia humu jf kama mtoto
 
Ama kweli mbele ya pesa kila penzi litatolewa.
=
 
Mkuu unafanya kazi kiwanda cha pesa nini...ili kujua kama kweli anakupenda ombi lake la mifweza ungelitolea nje halafu ungejibanza pembeni uone kama kweli anakupenda au lah!!
 
Uwe na nidhamu si kila unae muona humu usidhani ni mtoto kama umerithi tabia chafu kutoka kwa wazazi wako usi zilete humu jamvin ziishie huko huko kwa wazazi wako. Nani analilia humu?
peleka hukooooo we ndo utakuwa umerithi tabia za kuhonga honga watu hovyo usiowajua kutoka kwa wazaz wako...mtu mzima gani wewe na akati mshamba wa mapenzi...we ni wa kishumundu nini???
 
za wa*** ndizo ziliwazo

Feeback ingekuwa na faida endapo wanaopewa hiyo feedback wangemfahamu huyo unayemzungumzia.
 

Mkuu na wewe acha ulimbukeni wa mapenzi toka lini mke anatafutwa kwa matangazo!!!
Uyo alijua tu wewe utakuwa ----- ndo maana siku tatu tu kaanza mizinga.Na wewe unatoa tu.
Kwa kweli mimi sikuelewi hata kidogo mke anatafutwa na anaandaliwa bwana sio kukulupuka ooh shauri yako!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…