peleka
hukooooo we ndo utakuwa umerithi tabia za kuhonga honga watu hovyo
usiowajua kutoka kwa wazaz wako...mtu mzima gani wewe na akati mshamba
wa mapenzi...we ni wa kishumundu nini???
Mkuu na wewe acha ulimbukeni wa mapenzi toka lini mke anatafutwa kwa matangazo!!!
Uyo alijua tu wewe utakuwa ----- ndo maana siku tatu tu kaanza mizinga.Na wewe unatoa tu.
Kwa kweli mimi sikuelewi hata kidogo mke anatafutwa na anaandaliwa bwana sio kukulupuka ooh shauri yako!!!!!!!
kaka umeona eeehh...halafu lenyewe linaona misifa kumpa elfu sabini na tano siku ya kwanza na akat demu hamjui kampatia humu...watoto wa kike sometimes wanaangaliaga jinsi mtu alivyo ndo wanamletea swagger hzo za kumchuna sasa usikute jamaa domo zege halafu kajsifia ana hela basi ndo mtoto wa kike ndo akaona huyu ndo boya wa kumchuna....na ukitaka kuprove huyu jamaa ni mfalme wa madomo zege anakuja kutoa malalamiko yake humu badala ya kumchana live demu mwenyeweTatizo huyu bwana ni domo zege! Kama kutongoza hujui si uwaomba watu wa karibu wakupe mastyle mtoto wa kike haruki! Pesa cyo kila kitu Joh.
Ila ka vp tupe hiyo ID yake hata kwa pm
Bila shaka mkuu Ishmael amekutana na yule mtoto wa mujini anayejiita hapa JF KUBWA LA MAADUI!!!! (GET RICH OR DIE TRYING!!!!)
mwanaume-mwenye-pesa-ndo-mpango-mzimaaaa.
mvuto-pesa-katika-kuchagua-mwanaume-wa-kuwa-naye.
ah ah! mama yangu ndio kila kitu na hata mshahara wangu unapitia kwenye account yake
Mh! Hunifai mm nilkuwa nataka niku PM , ili tuonane, sasa pesa zote kashikilia mama, sasa itakuwaje,maaana mimi nilikuwa nataka tuonane pale Subway, jioni halafu sitakuomba pesa nyingi ni laki 8 tu, maana nimesimamishwa chuo nataka pesa za kumalizia .
Tatizo huyu bwana ni domo zege! Kama kutongoza hujui si uwaomba watu wa karibu wakupe mastyle mtoto wa kike haruki! Pesa cyo kila kitu Joh.
Hiyo kitu inanishangaza sana! wasichana wapo kila kona kuanzia kanisani maeneo mengne, Anashindwaje kufanya tafiti ni yupi atamfaa hadi anatafuta mitandaoni? ---- kweli huyu jamaa tena apige kimya kbs.
kaka umeona eeehh...halafu lenyewe linaona misifa kumpa elfu sabini na tano siku ya kwanza na akat demu hamjui kampatia humu...watoto wa kike sometimes wanaangaliaga jinsi mtu alivyo ndo wanamletea swagger hzo za kumchuna sasa usikute jamaa domo zege halafu kajsifia ana hela basi ndo mtoto wa kike ndo akaona huyu ndo boya wa kumchuna....na ukitaka kuprove huyu jamaa ni mfalme wa madomo zege anakuja kutoa malalamiko yake humu badala ya kumchana live demu mwenyewe
vizuri km umejionea mwenyewe,wanawake wa siku hizi njaa,yaani cjui tabia hizo wanatoa wapi,wanasababisha tuwawazie vibaya wazazi wao kwa kurejea msemo wa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..............cwez kurisk maisha yangu kwa washenzi wa hivyo.
Bila shaka mkuu Ishmael amekutana na yule mtoto wa mujini anayejiita hapa JF KUBWA LA MAADUI!!!! (GET RICH OR DIE TRYING!!!!)
mwanaume-mwenye-pesa-ndo-mpango-mzimaaaa.
mvuto-pesa-katika-kuchagua-mwanaume-wa-kuwa-naye.
Mkuu unafanya kazi kiwanda cha pesa nini...ili kujua kama kweli anakupenda ombi lake la mifweza ungelitolea nje halafu ungejibanza pembeni uone kama kweli anakupenda au lah!!
Mkuu na wewe acha ulimbukeni wa mapenzi toka lini mke anatafutwa kwa matangazo!!!
Uyo alijua tu wewe utakuwa ----- ndo maana siku tatu tu kaanza mizinga.Na wewe unatoa tu.
Kwa kweli mimi sikuelewi hata kidogo mke anatafutwa na anaandaliwa bwana sio kukulupuka ooh shauri yako!!!!!!!