Nafarijika mzee angalau vibaka watapungua kwa sasa, Mungu akijalia wakizaa utakuwa na mbwa 3 ambao ni standard. Watu ambao hawaishi maeneo korofi au ambao hawajawahi kuvamiwa mbwa akawaokoa hawawezi kuona umuhimu wa kuwa na mbwa. Na hawathamini mbwa wengine wakiona mbwa wanawapiga na kuwafukuzia mbali.
wakuu heshima mbele
nilifanikiwa kupata mbwa jike bado kigoli kabisa shukurani ziwaendee MKUU NGULI JABALI, PARACHICHI na wengine weengi natafuta jina la kumpa cjapenda nilomkuta nalo anaitwa VAN najua wakuu mtanisadia kupata jina zuri.
pia natafuta mwl wa kumfundisha nikitulia nitaweka picha yake hapa ni mkubwa kabisa nataraji ataingia heat mda si mrefu
mtoe kizazi fasta kabla hajazaa unless kama unapenda azae. Good luck
mkuu nimtoe kizazi? vinauzwa au? huu ni ukatili kwa wanyama na watu wa haki za wanyama cpendi kugombana nao mkuu napenda azae na kuongezeka ili niuze watoto angalau nirudishe pesa na faida najua na ww utakuwa mteja akizaa na nitatoa ofa maalumu kwa wana JF wote watakao hitaji mbwa ila akitimiza vigezo na masharti ya kuwa na geti tu.
Haina shida kama unapenda azae. Mie nikiwa na paka au mmbwa fasta namtoa kizazi ili asizae halafu pa kuwapeleka sina. Na akiwa kwenye heat ni matatizo tu kama huna dume. Ni ushauri tu na watu wa haki za wanyama wameridhia kuwatoa kizazi kuliko wazae wajazane then inakuwa kero kuwatunza na inabidi wauwawe.