1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,199
- 2,859
Wana JF habari Zenu!
Ni takribani wiki1 na siku2 tangu nilpo post thread isemayo mficha uchi hazai.Ama kwa hakika ina zidi kunipa morali kauli hii ya mwalimu wangu 'Sisi soote ni wanajamii,na tuna jami.iana' kauli hii alipenda kuitumia kwenye mikusanyiko mbalimbali ikiwemo assemble na hasa class.Samahani kwa wale ambao wataipokea kauli hii kwa maana nyngne,lakini kauli hii ilimaanisha wanajamii tunasaidia kwa maoni,ushauri tofauti tofauti kutoka kwa wanajamii.Sasa mimi nilpoweka uzi hapa jamvini,hakika ushauri wao na mawazo yao ndo ikawa tiba kwangu.Shukrani za pekee ziwafikie watu hawa MziziMkavu Mentor Kongosho watu8 Alinda Loly Mgaya.com amon jason Godwinnko Marnah Truth Matters Mtende imaney Barca Brightman Jr MAULA na wengne woote wanaoendelea ku comment na ku guest thread HIImbarikiwe sana.Dawa nilizotumia na kuniponya ni VITUNGUU swaumu na SKIPODINEkwa wiki moja tuu dawa hizi zimenipatia majibu na kuniponya kabisa,na sasa dushe yangu inafanya kazi kama kawaida.Tabu zoote za kutokwa na majimaji/marengerenge,kushindwa kuvaa chupi na kuwashwa tayari nimesha sahau maumivu.Nnacho washauri wana jukwaa hili nikuwa kwa wale wanao post thread zao za kuomba msaada khs tiba flan,basi warudishe feedback ili ma daktari wetu wa kujitolea wa humu jf wapate morali wa kuwasaidia na wengne,wakiamini kabisa aina ya tiba flani ina mfaa mgonjwa flani.
Mungu Ibariki jamii forum

Last edited by a moderator: