Feedback: Tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti, Dawa iliyonipa Relief na namna ya kulitibu kabisa.

Sipakagi mafuta yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hupaki basi kuna tatizo mahali zingatia tu usafi

Binafsi niliwahi pata vitu kama vipele vikubwa mwili kila nikipaka dawa haviishi nimekaa na tatizo mwaka mzima yaani juzi hapa eti nikapata suluhusi kwamba mafuta niliyokuwa napaka yalikuwa yana nilitea haya madude

Nimeacha kuyatumia na vyenyewe vimepotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishaitumia kama wiki mbili hivi sikupona.

Labda nijaribu tena.

Vipi athari zake kwa mama mjamzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama walivokushauri wengi tumieni vitunguu swaumu kwa siku 7 Hadi 21 pia hakikisha hamna pressure ya kushuka na wife sio mjamzito

Kingine upande wa vyakula punguzeni kula wanga haswa isiyokobolewa na vyakula vya kiwandani,sukari kwenye chai muache
Sabb vyote ni vyakula vya fungus ndo maana haiponi

Maji mnayonawia sehemu nyeti wekeni chumvi au ACV(apple cider vinegar) au limao
 
Asante sana mkuu
 
Tunaposema wanga isiyokobolewa, maana yake ni mchele na ugali wa dona?
 
Mkuu ungepata na yakumeza utumie pamoja mfano (fluconazole)..then uendelee kupaka hiyo cream as long as possible..taratibu zitapungua na mwishoni kuisha

Kingine ni hakikisha hizo za kupaka hazina steroid,maana utaongeza shida juu ya shida..
Mi mamsapu wangu Alikua na fungus sugu akaandikiwA asfluvin ilimsaidia vp inatofauti na fluconazole
 
Mi mamsapu wangu Alikua na fungus sugu akaandikiwA asfluvin ilimsaidia vp inatofauti na fluconazole
Anti-fungal zipo nyingi chief..na hiyo aliyopewa ni tofauti na fluconazole..lakini ni nzuri pia
 
Napitia comments za wadau humu, taratibu na mimi nitakua tabibu mdogo mdogo tuu..
 
Pole sana kamanda. Kuna dawa nzuri pia inaitwa DIPROSALIC OINTMENT (ni ya tube) inasaidia sana. Jaribu
 
KWELI KABISA HII NI TIBA TOSHA
 
Changanya Apple cider vinegar na maji ya vuguvugu kuoshea, mara 2 kwa siku ,kausha paka virgin coconut oil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…