kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,818 Apr 23, 2019 #41 Yaani Humu kuna watu wanapotosha hadi kero,
King In The North Member Joined Mar 13, 2019 Posts 64 Reaction score 30 Apr 26, 2019 Thread starter #42 Mkuu unaposema hiyo dawa unaitumia sana, maana yake haiponyeshi permanently?
B Barbra JF-Expert Member Joined Oct 19, 2016 Posts 1,046 Reaction score 946 Jun 24, 2019 #43 King In The North said: Tunaposema wanga isiyokobolewa, maana yake ni mchele na ugali wa dona? Click to expand... Ndio ugali dona na mchele upo ambao haijakobolewa(brown rice)
King In The North said: Tunaposema wanga isiyokobolewa, maana yake ni mchele na ugali wa dona? Click to expand... Ndio ugali dona na mchele upo ambao haijakobolewa(brown rice)