Feedback!!!!!!!!!

Roxea

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
182
Reaction score
48
Wapendwa wanajamvi mie nlikua nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine hara kupata exactly ulichohitaji au kusaidiwa kwa jinsi yeyote ile ningeomba bhasi tuwe tunarudi hapahapa jamvini ku-appriciate kile wanajamvi wamekuprovide na kama haitoshi bhasi tukaendelea kukuprovide vitu adimu. Hii pia itasaidia kuboresha jamvi lakini pia kutanua wigo wa jamvi mara tu utatuzi wa situations unapo onekana wazi au kuthibitishwa na aliepata ufumbuzi,
Ni hayo tu wanajamvi,
Regards.
 

mkuu watu huishia kugegedana na baada ya hapo kila m2 anakula uelekeo wake, lakin pia nahisi wengi hukutana na vituko i mean unakutana na me au ke asio chaguo lako kabisaaaa, maon yangu tu.
 
Aiseeee mi ntashangaaa ama kuona ni masiara inapitokea naomba nyoka nikapewa samaki au viceversa ila byg such we survive
 
Aiseeee mi ntashangaaa ama kuona ni masiara inapitokea naomba nyoka nikapewa samaki au viceversa ila byg such we survive

Asanteni wana jamii forums mimi nimepata tayari wa kushare nae life ila bado yuko kwenye probation, mambo yakikaa poa nitawa inform thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…