Hapana TT, amini usiamini wako wengi sana ndani ya ndoa wana hali kama hii na kamwe haisababishwi na uzembe wao.
Hii ni kweli kabisa na inatokea kwa wetu wengi sana bt people pretend tu
lakini lazima kuwe na reason behind,its very hard to feel lonly kama ukiwa na mpenzi unayempenda kwa dhati na wakati wote
ups and down ni mambo ya kawaida sana kwenye ndoa, sie binadamu hatujakamilika labda awe ameshushwa kama mkate mana!Whwn you feel lonely even if you're in marriage, the answer is that you are married to a wrong person!!! If you can't undo your marriage, just learn how to live with that situation.
thanks nafikiri malezi yetu yametunyima kwa kiwango kikubwa kusema ule ukweli uliopo moyoni watu wengi wapo radhi kuendelea kugugumia na maumivu mioyoni kuliko kutibu majeraha yaliyopo mioyoni mwao.ndio inafikia mahali wengine wanachinja wake/waume watoto yote hii ni misongo ya mawazo.
kweli kabisa.Kwenye hili swala la kutoambiana ukweli hili tujirekebishe ndio kosa letu kubwa lipo.
Ni vizuri sana kuambiana ukweli hata kama mmoja atakasirika lakini atapata nafasi ya kujirekebisha na kusaidia relationship kuendelea kwa amani.
Kuambiana ukweli inasaidia sana kwenye mahusiano.
ndoa + tendo la ndoa ndio pepo yenyewe"ndoa ni msalaba tunayajua yakini"
have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
Mmmhhh michelle unautaalamu wa psychology????:twitch:
Whwn you feel lonely even if you're in marriage, the answer is that you are married to a wrong person!!! If you can't undo your marriage, just learn how to live with that situation.
kuna partners wengine wanakuwa present but not available, lazima utakuwa lonely tu hata kama yuko mbele ya uso wako.
Chauro mpaka umeanzisha thread!! Si bure!
Pole mamito but know that you are not alone in this kind of situation!
Take heart, find something to keep U busy, invest ur time to your family. Itapita
asante bro dah umefukunyua mbali kweli nawashukuru kwa ushauri wenu maana kila siku ni shule kwangu.
Am not old enough kujua mambo ila kutokana na udadisi wangu ni kwamba kuna vitu kama income crises , relationships problem ni vitu vinaweza kukufanya uwe mpweke sana . but kama hivyo vyote viko sawa then its like kuna vitu ama kazi umekuwa unazifanya with alot of passion , so your unconscious mind it needs u 2 be rewarded for your efforts . and this reward is nothing but the BEST SEX with satisfaction. after that ur batries will be recharged . if that wont help u am sorry , ila nina uhakika wapo watu wenabusara na maarifa zaidi yangu hapa janvini kama akina Lizzy watakusaidia zaidi. Happy new year.have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
hujajibu hoja bado.... upweke umeisha??
kigali wanasemaje, maana nimesikia ulikua rwanda na kaka kiiza