Fei salum ajifunze kitu kutokwa kwa Kenedy Musunda na joyce lomalisa

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa mikimbio, kufanyia mzaha jina la joyce wakahasau nao wanamchezaji anaitwa jeni.

Upande wa lomalisa siwezi kusema mengi. Wengi tumeona uwezo wake, aliwa-prove wrong wachambuzi uchawara mapema sana. Jamaa ni fundi sana upande wa kutengeneza chance za magoli.
Kipindi hiki cha mashindano ya kimataifa amehusika kwenye magoli muhimu sana.

Kenedy musonda huyu ni mchezaji mwenye nidhamu sana. kaacha miguu yake itoe majibu ya thamani yake.
mpaka sasa kwenye shirikisho amehusika katika mabao 5
3 asisst.
2 goals.

Kama mchezaji anataka awe na thamani kubwa, inabidi aoneshe kiwango bora kwenye mashindano ya kimataifa.
 
Kwahiyo fei hakuonyesha thamani take?nilijua Kuna jambo lingine la maana wamefanya Mzee wa mikimbio na mwenzake.
Fei ndio alikua anaokoa timu ikizidiwa na anampa back up azizi k.saiz azizi anatema mate tu Amna Cha maana anakifanya
 
Aziz key ashajitengenezea thamani yake kama mchezaji. huwezi kumfananisha na fei sukar
 
Joyce lomalisa hakuwa maarufu?? Hebu google hapo historia yake alafu utajua kama alikua maarufu au vipi?
 
Kwahiyo fei hakuonyesha thamani take?nilijua Kuna jambo lingine la maana wamefanya Mzee wa mikimbio na mwenzake.
Fei ndio alikua anaokoa timu ikizidiwa na anampa back up azizi k.saiz azizi anatema mate tu Amna Cha maana anakifanya
Aziz ki ana mmic fei wallah, kweli match muhimu anacheza dkk 9, ufunguo wa team?? Si uchuro huu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom